\b \p \v=39 \v~=Jumla ya hesabu ya Walawi waliohesabiwa na Mose na Aroni kwa amri ya \nd Bwana\nd*, kufuatana na koo, pamoja na kila mume mwenye umri wa mwezi mmoja au zaidi, walikuwa 22,000. \¬v \¬p