\v=4 \v~=Hata hivyo Nadabu na Abihu walikufa mbele za \nd Bwana\nd* walipotoa sadaka kwa moto usioruhusiwa mbele zake katika Jangwa la Sinai. Hawakuwa na wana; kwa hiyo Eleazari na Ithamari walihudumu peke yao kama makuhani wakati wote wa maisha ya Aroni baba yao. \¬v \¬p