\v=50 \v~=Kutokana na wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli alikusanya fedha yenye uzito wa shekeli 1,365\f + \fr 3:50 \ft Shekeli 1,365 ni sawa na kilo 15.5.\f* kufuatana na shekeli ya mahali patakatifu. \¬v