\v=37 \v~=Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wote wale wa koo za Wakohathi ambao walitumika katika Hema la Kukutania. Mose na Aroni waliwahesabu kufuatana na amri ya \nd Bwana\nd* kupitia kwa Mose. \¬v \¬p