\v=6 \v~=Kisha watafunika juu yake na ngozi za pomboo,\f + \fr 4:6 \fq Pomboo \ft hapa ina maana ya mnyama mwenye ngozi laini aishiye kwenye milima yenye misitu, au pengine nguva au sili. \f* na kutandaza juu yake kitambaa cha rangi ya buluu iliyokolea na kuingiza mipiko mahali pake. \¬v \¬p