\v=18 \v~=Baada ya kuhani kumsimamisha huyo mwanamke mbele za \nd Bwana\nd*, atazifungua nywele za huyo mwanamke na kuweka sadaka ya ukumbusho mikononi mwake, ile sadaka ya nafaka kwa ajili ya wivu, huku kuhani mwenyewe akishikilia yale maji machungu yaletayo laana. \¬v