\v=2 \v~=“Waamuru Waisraeli kumtoa nje ya kambi mtu yeyote ambaye ana ugonjwa wa ngozi uambukizao,\f + \fr 5:2 \ft Ugonjwa wa ngozi uambukizao hapa ina maana ya ukoma.\f* au anayetokwa na majimaji ya aina yoyote, au ambaye ni najisi kwa utaratibu wa ibada kwa sababu ya maiti. \¬v