\v=21 \v~=hapa kuhani atamweka huyo mwanamke chini ya laana ya kiapo akisema: “\nd Bwana\nd* na awafanye watu wako wakulaani na kukukataa, wakati \nd Bwana\nd* atakapolifanya paja lako kupooza na tumbo lako kuvimba. \¬v