\v=22 \v~=Maji haya yaletayo laana na yaingie ndani ya mwili wako ili tumbo lako livimbe na paja lako lipooze.”\f + \fr 5:22 \ft Paja lipooze hapa ina maana ya kuwa tasa au kuharibu mimba.\f* \¬p \p \p~<