\v=25 \v~=Kuhani atachukua sadaka ya nafaka kwa ajili ya wivu kutoka mikononi mwa huyo mwanamke, naye ataipunga mbele za \nd Bwana\nd* na kuileta madhabahuni. \¬v