\v=12 \v~=Ni lazima ajitoe kabisa kwa \nd Bwana\nd* kwa kipindi cha kujitenga kwake, na ni lazima atoe mwana-kondoo wa mwaka mmoja kama sadaka ya hatia. Siku zilizopita hazitahesabiwa kwa sababu alijitia unajisi katika siku zake za kujitenga. \¬v \¬p