\p \v=16 \v~=“ ‘Kuhani atavileta vitu hivyo mbele za \nd Bwana\nd* na kufanya sadaka ya dhambi na sadaka ya kuteketezwa. \¬v