\v=17 \v~=Ataleta pia kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, na atatoa dhabihu kondoo dume kama sadaka ya amani kwa \nd Bwana\nd*, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka ya kinywaji. \¬v \¬p