\v=20 \v~=Kisha kuhani ataviinua mbele za \nd Bwana\nd* kama sadaka ya kuinua; ni vitakatifu na ni mali ya kuhani, pamoja na kile kidari kilichoinuliwa na lile paja lililotolewa. Baada ya hayo, Mnadhiri anaweza kunywa divai. \¬v \¬p