\p \v=5 \v~=“ ‘Kwa muda wote wa nadhiri yake ya kujitenga kwa ajili ya \nd Bwana\nd*, wembe hautapita kichwani mwake. Ni lazima awe mtakatifu mpaka kipindi cha kujitenga kwake kwa ajili ya \nd Bwana\nd* kiishe; ni lazima aache nywele za kichwa chake zirefuke. \¬v