\v=11 \v~=Kwa maana \nd Bwana\nd* alikuwa amemwambia Mose, “Kila siku kiongozi mmoja ataleta sadaka yake ili kuwekwa wakfu madhabahu.” \¬v \¬p