\mi \v=13 \v~=Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130,\f + \fr 7:13 \ft Shekeli 130 za fedha ni sawa na kilo 1.5.\f* na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini,\f + \fr 7:13 \ft Shekeli 70 za fedha ni sawa gramu 800.\f* vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka; \¬v