\b \m \v=78 \v~=Siku ya kumi na mbili Ahira mwana wa Enani, kiongozi wa watu wa Naftali, alileta sadaka yake. \¬v \¬m