\v=85 \v~=Kila sahani ya fedha ilikuwa na uzito wa shekeli 130, na kila bakuli la fedha la kunyunyizia lilikuwa na uzito wa shekeli sabini. Masinia yote kumi na mawili yalikuwa na uzito wa shekeli 2,400\f + \fr 7:85 \ft Shekeli 2,400 za fedha ni sawa na kilo 28.\f*kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. \¬v