\v=86 \v~=Sahani kumi na mbili za dhahabu zilizojazwa uvumba zilikuwa na uzito wa shekeli kumi kila moja, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. Kwa jumla, sahani za dhahabu zilikuwa na uzito wa shekeli 120.\f + \fr 7:86 \ft Shekeli 120 za dhahabu ni sawa na kilo 1.4.\f* \¬v