\p \v=89 \v~=Mose alipoingia kwenye Hema la Kukutania kuzungumza na \nd Bwana\nd*, alisikia sauti ikisema naye kutoka kati ya wale makerubi wawili waliokuwa juu ya kile kiti cha rehema, juu ya Sanduku la Ushuhuda. Mose akazungumza naye. \¬v \¬p \¬c