\v=11 \v~=Aroni atawaweka Walawi mbele za \nd Bwana\nd* kama sadaka ya kuinua kutoka kwa Waisraeli, ili kwamba wawe tayari kuifanya kazi ya \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p