\p \v=20 \v~=Mose, Aroni na jumuiya yote ya Waisraeli wakawafanyia Walawi kama \nd Bwana\nd* alivyomwamuru Mose. \¬v