\v=22 \v~=Baada ya hayo, Walawi walikuja kufanya kazi yao katika Hema la Kukutania chini ya usimamizi wa Aroni na wanawe. Waliwafanyia Walawi kama vile \nd Bwana\nd* alivyomwamuru Mose. \¬v \¬p