\p \v=3 \v~=Aroni akafanya hivyo; akaziweka zile taa ili zielekee mbele kwenye kinara cha taa, kama vile \nd Bwana\nd* alivyomwamuru Mose. \¬v