\v=13 \v~=Lakini kama mtu ni safi kwa taratibu za kiibada naye hayuko safarini, asipoadhimisha Pasaka, mtu huyo hana budi kukatiliwa mbali na watu wake kwa sababu hakutoa sadaka ya \nd Bwana\nd* kwa wakati ulioamriwa. Mtu huyo atawajibika kubeba matokeo ya dhambi yake. \¬v \¬p