\v=18 \v~=Kwa amri ya \nd Bwana\nd* Waisraeli waliondoka, na kwa amri yake walipiga kambi. Kwa muda wote wingu liliposimama juu ya Maskani, Waisraeli walibaki wamepiga kambi. \¬v \¬p