\p \v=19 \v~=Wakati wingu lilipobaki juu ya Maskani kwa muda mrefu, Waisraeli walitii amri ya \nd Bwana\nd* nao hawakuondoka. \¬v