\v=20 \v~=Wakati mwingine wingu lilikuwa juu ya Maskani kwa siku chache tu; kwa amri ya \nd Bwana\nd* wangelipiga kambi na kisha kwa amri yake wangeliondoka. \¬v