\v=5 \v~=nao wakafanya hivyo kwenye Jangwa la Sinai wakati wa kuzama jua siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza. Waisraeli wakafanya kila kitu kama vile \nd Bwana\nd* alivyomwamuru Mose. \¬v \¬p