\v=7 \v~=wakamwambia Mose, “Tumekuwa najisi kwa sababu tumegusa maiti, lakini kwa nini tuzuiliwe kumtolea \nd Bwana\nd* sadaka yake pamoja na Waisraeli wengine katika wakati ulioamriwa?” \¬v \¬p