\p \v=4 \v~=Kwa maana, kama Mungu hakuwasamehe malaika walipotenda dhambi, bali aliwatupa kuzimu\f + \fr 2:4 \ft Kuzimu hapa linalotokana na neno Tartarus la Kiyunani; maana yake ni kule ndani sana katika mahali pa mateso kwa watu waliopotea.\f* katika vifungo vya giza wakae humo mpaka ije hukumu; \¬v