\v=8 \v~=Maiti zao zitabaki katika barabara ya mji mkubwa,\f + \fr 11:8 \ft Mji mkubwa hapa inamaanisha Yerusalemu ambako Bwana wao alisulubiwa.\f* ambao kwa fumbo unaitwa Sodoma na Misri,\f + \fr 11:8 \ft Sodoma na Misri hapa inamaanisha Yerusalemu, kwa sababu mataifa watafanya uovu mwingi wa kila aina katika kipindi hicho cha miaka mitatu na nusu.\f* ambapo pia Bwana wao alisulubiwa. \¬v