\v=14 \v~=Lakini huyo mwanamke akapewa mabawa mawili ya tai mkubwa, kusudi aweze kuruka mpaka mahali palipotayarishwa kwa ajili yake huko jangwani, ambako atatunzwa kwa wakati na nyakati na nusu,\f + \fr 12:14 \ft Maana yake ni miaka mitatu na nusu.\f* ya wakati ambako yule joka hawezi kufika. \¬v