\v=20 \v~=Lile shinikizo likakanyagwa nje ya mji, nayo damu ikatiririka kama mafuriko kutoka hilo shinikizo kufikia kimo cha hatamu za farasi,\f + \fr 14:20 \ft Kimo cha hatamu za farasi ni kama mita moja na nusu.\f* kwa umbali wa maili 200.\f + \fr 14:20 \ft Maili 200 ni sawa na kilomita 320.\f* \¬v \¬p \¬c