\p \v=16 \v~=Ndipo wakawakusanya wafalme pamoja mahali paitwapo Armagedoni\f + \fr 16:16 \ft Armagedoni au Har-Magedoni ina maana Mlima Megido, mahali pa kinabii ambapo wafalme wote wa dunia watakusanyika kwa vita katika siku ya Mungu Mwenyezi.\f* kwa Kiebrania. \¬v \¬p