\v=16 \v~=Mji huo ulikuwa mraba, urefu wake ulikuwa sawa na upana wake. Akaupima huo mji kwa huo ufito akakuta una kama kilomita 2,200;\f + \fr 21:16 \ft Kilomita 2,200 hapa ni sawa na maili 1,200.\f* urefu wake na upana wake na kwenda juu kwake vilikuwa sawa. \¬v