\v=17 \v~=Akaupima ukuta wake, ulikuwa na unene wa dhiraa 144\f + \fr 21:17 \ft Dhiraa 144 ni karibu mita 65.\f* kwa kipimo cha kibinadamu ambacho huyo malaika alikuwa akikitumia. \¬v