\v=5 \v~=Usiku hautakuwako tena, wala hawatahitaji mwanga wa taa au wa jua, kwa maana \nd Bwana\nd* Mungu atakuwa nuru yao, nao watatawala milele na milele. \¬v \¬p