\p \v=6 \v~=Kisha yule malaika akaniambia, “Maneno haya ni ya kuaminika na kweli. \nd Bwana\nd*, Mungu wa roho za manabii, alimtuma malaika wake kuwaonyesha watumishi wake yale ambayo hayana budi kutukia upesi.” \¬v \¬p