\pm \v=11 \v~=\wj “Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatadhuriwa kamwe na mauti ya pili.\wj* \¬v \¬pm