\pm \v=7 \v~=\wj “Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa haki ya kula matunda toka kwa mti wa uzima, ambao uko katika paradiso\wj*\f + \fr 2:7 \ft Paradiso hapa ina maana ya Bustani, yaani shamba dogo la miti izaayo matunda.\f* \wj ya Mungu.\wj* \¬v \¬pm