\v=11 \v~=Walikuwa na mfalme wao, ambaye ni malaika wa lile Shimo, ambaye jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani ni Apolioni.\f + \fr 9:11 \ft Abadoni au Apolioni maana yake ni Mharabu, yaani Yule aharibuye.\f* \¬v \¬p