\v=18 \v~=Nanyi, mkiisha kuwekwa huru mbali na dhambi, mmekuwa watumwa wa haki. \¬v \¬p