\v=17 \v~=Pale utakapofia nami nitafia hapo, na papo hapo nitazikwa. \nd Bwana\nd* na aniadhibu vikali, kama kitu kingine chochote kitanitenga nawe isipokuwa kifo.” \¬v