\p \v=6 \v~=Aliposikia akiwa huko Moabu kwamba \nd Bwana\nd* amewasaidia watu wake kwa kuwapa chakula, Naomi na wakweze wakajiandaa kurudi nyumbani. \¬v