\p \v=8 \v~=Ndipo Naomi akawaambia wale wakwe zake wawili, “Rudini, kila mmoja wenu nyumbani kwa mama yake. \nd Bwana\nd* na awatendee fadhili kama mlivyowatendea hao waliofariki, na pia mimi. \¬v