\v=12 \v~=\nd Bwana\nd* na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake.” \¬v \¬p