\p \v=20 \v~=Naye Naomi akamwambia mkwewe, “\nd Bwana\nd* ambariki! Hakuacha kuonyesha fadhili zake kwa walio hai na kwa waliokufa.” Pia akamwambia, “Huyo mtu ni mmoja wa jamaa yetu wa karibu anayestahili kutukomboa.” \¬v \¬p