\p \v=10 \v~=Akamwambia, “Binti yangu, ubarikiwe na \nd Bwana\nd*. Wema huu wa sasa ni mkuu kushinda hata ule ulioonyesha mwanzoni. Hukuwakimbilia vijana, wakiwa matajiri au maskini. \¬v